Blogger Widgets

Friday, December 6, 2013

Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Nelson Mandela ameaga dunia..

Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Nelson Mandela ameaga dunia. Mandela amefariki huko Johannesburg akiwa na umri wa miaka 95 na yeye ndiye aliongoza Afrika Kusini kutoka mikononi mwa watawala wa ubaguzi wa rangi baada ya kufungwa jela kwa miaka 27. Katika taarifa yake kwa watu wa Afrika Kusini, Jacob Zuma, alisema kuwa Mandela amewaaga lakini yuko mahali salama.Mandela alikuwa anatibiwa homa ya mapafu nyumbani kwake baada ya kulazwa hospitalini...

Tuesday, December 3, 2013

HIKI NDICHO ALICHOKISEMA VIN DIESEL KUFUATIA KIFO CHA PAUL WALKER..!

Paul Walker and Vin Diesel "To live in the hearts we leave behind, is not to die," the actor quoted Thomas Campbell on his Facebook page in speaking out for the first time about the death of longtime friend Paul Walker, his costar in four of six films in the Fast and the Furious series. They were on a break from shooting the latest installment of the series when Walker waskilled in a single-car crash Saturday,...