Mmoja wa magaidi walioshambulia Westgate
Mkuu wa majeshi ya Kenya ameabia vyombo vya habari kuwa shirika la Ujasusi la Marekani FBI lilikabidhiwa miili ya magaidi walioshambulia jengo la Westgate nchini Kenya mwaka jana.
Karangi, ameyasema hayoalipokuwa akikitoa maelezo katika mkutano ulioandaliwa nchini Kenya na baraza la vyombo vya habari kuhusu ambavyo shambulizi hilo lilishughulikiwa.
Alisema kuwa majeshi yake hatimaye yaliweza kuwaua magaidi...