Blogger Widgets

Thursday, December 11, 2014

BRAND NEW AUDIO: JOH MAKINI FT G.NAKO XO

. Hii ni single mpya ya msanii wa Hip Hop kutokea 87.9 (ArushaCloudsFM)  mwamba wa Kaskazini Joh Makini wimbo unaitwa XO akiwa amemshirikisha G Nako. Isikilize hapa mtu wa nguvu kisha usisahau kuniandikia ya moyoni ili Joh Makini na G Nako wakipita hapa wasome kutoka kwa watu wao wa nguvu.. Bonyeza hapa kuingia kuisikiliza na kudownload moja kwa moja…. >>>> HAPA Ni halali yako kupata kila stori inayonifikia mtu wangu,...

Monday, December 8, 2014

BRAND NEW VIDEO: G-nako Moralle..

Kutoka Kwa G-Nako WaraWara, hii ndio video yake mpya yaMoralle,, Video imefanyika Arusha, na ni moja kati ya zile Video Tano walizoahidi Weusi.. Kesho, December 9, itakuwepo hewani video ya Joh-Makini I see me.. stay with us.. ...

HII NDIO TWEET YA DAVIDO ILIYOMKOSANISHA NA WATANZANIA..

Usiku wa December 07 Tanzania imechukua tena headline kwenye vyombo mbalimbali vya habari na hii ni baada ya Mtazania Idris kufanikiwa kushinda kwenye shindano la Big Brother Hot Shot 2014. Usiku huo huo baada ya ushindi wa Idris,Diamond alipost tuzo aliyoshinda Nigeria baada ya matukio hayo kufanyika,Hit Maker wa single kadhaa ikiwemo Skelewu Davido alipost kitu ambacho kimezua tafsiri tofauti tofauti. Post ya Davido ilisomeka >>’N they...

HII NDIO TUZO NYINGINE ALIYOCHUKUA DIAMOND HUKO NIGERIA..

Diamond Platnumz ameshinda tuzo nyingine ambayo hizi zilikua zikitolewa Lagos nchini Nigeria ambazo hizi hazikuwa na utaratibu kama wa tuzo zingine kwa kupiga kura. Baada ya kushinda tuzo hiyo ambayo ilienda kupokelewa na Meneja wake Salaam,Diamond alipost maneno haya>>’Thanks God,we have cheated another one on the future Awards Africa in Lagos Nigeria…#samenight Thank you Allah’ Tuzo hizi zinaitwa The Future Awards Prize in Entertainment...

TANZANIA YAKIMBIZA TENA BIG BROTHER AFRICA..

Leo ni siku ya 63 tangu yaanze mashindano ya Big Brother Africa, ndiyo siku ambayo imefanyika fainali ya #BBAHotshots kwa mwaka huu 2014. Labda nikukumbushe kwamba Tanzania ndiyo nchi pekee iliyokuwa imebakiwa na mshiriki wake ndani ya Jumba la BBA katika ukanda wa Afrika Mashariki na tuliona namna ambavyo mastaa wengi wakitoa support kubwa kwa mshiriki huyo ambaye ni Idris. Hatimaye usiku huu wa Desemba 07 historia nyingine imeandikwa Afrika,...

Tuesday, December 2, 2014

BRAND NEW AUDIO: Kala Jeremiah ft Nuruwell Usikate tamaa

...

HAWA NDIO WACHEZAJI WATATU WALIOTAJWA KUWANIA BALLON D'OR

Orodha ya wachezaji watatu waliongia kwenye fainali ya kuwania tuzo ya Ballon’Dor inayotolewa kwa mchezaji bora wa dunia imetajwa hii leo . Orodha hiyo imewajumuisha wachezaji watatu ambao ni nahodha wa timu ya taifa ya Ureno Cristiano Ronaldo  , nahodha wa timu ya taifa ya Argentina Lionel Messi, na Kipa wa timu ya taifa ya Ujerumani Manuel Neuer. Ronaldo ndio mchezaji bora kwa sasa baada ya kutwaa tuzo hiyo mwaka jana. Mchezaji ambaye...

CHEKI PICHA,, HII NDIO AJALI ILIYOMHUSISHA DAVID BECKHAM..!!

Moja kati ya story zilizoshtua wapenda michezo nchini England mwishoni mwa wiki hii ni ajali ambayo aliipata nyota wa zamani wa Manchester United na Real Madrid pamoja na timu ya taifa ya England David Beckham . Becks alipata mkasa huo wakati akiwa anatoka kumchukua mwanae anayefahamika kwa jina la Brooklyn toka kwenye mazoezi ya kila siku ya timu yake ya Arsenal . Gari la David Beckham aina ya Audi likiwa limeharibika vibaya baada ya ajali...