Blogger Widgets

Wednesday, February 10, 2016

New Music: Listen, Download and Support this Upcoming Artist..

Kwa support tuliyopata toka kwa Viewers wa blogyetu toka kuanzishwa kwake ndiyo iliyotufikisha hapatulipo,, And now its our turn to pay back. This is us supporting Underground Music, trying to take Tanzanian Music to that New Level,, KWa Moyo Wa Dhati tunakuomba Sikiliza na Download Nyimbo hii toka kwa Msanii Mchanga Bless, Then Tupe maoni yako kusaidia kuendeleza mziki wa kizazi kipya Tanzania...

Tumerudi Tena na Hizi za Mkude Simba, Sikiliza na Download Hapa..

Baada ya kimya Kirefu, Sasa tunarudi tena na hizi kutoka Kwa Mkude Simba,, Bofya hapa Kusikiliza na ku Download....

Wednesday, October 28, 2015

HAYA NDIO MAAMUZI MAPYA JUU YA UCHAGUZI WA ZANZIBAR..!!

MATOKEO YA UCHAGUZI MKUU ZANZIBAR YAMEFUTWA, Madai ni kuwa uchaguzi huo haukuwa wa huru na Haki Sababu nyingine iliyochangia kufutwa kwa matokeo hayo ni pamoja na ikiukwaji wa sheria ikiwemo mgombea Maalim Seif kujitangaza kwenye matokeo kuwa mshindi. Via Azam...

Thursday, September 3, 2015

SIRI, HOTUBA YA DK. SLAA..

Hotuba ya aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Wilbrod Slaa, imepondwa vikali na wasomi mbalimbali wasiofungamana na upande wowote kisiasa. Juzi Dk. Slaa baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu kufuatia kujiweka kando kujishughulisha na Chadema kutokana na na chama hicho kumpokea Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa na kumpitisha kugombea nafasi ya urais akiviwakilisha vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), ajitokeza hadharani na kutoa msimamo wake wa kustaafu siasa, huku akimtuhumu mgombea huyo...

Saturday, July 11, 2015

PICHA ZA KINACHOENDELEA DODOMA, MAKAO MAKUU YA CCM MUDA HUU..!!

Kikao cha Halmashauri Kuu kimeendelea sasa hivi kwa zaidi ya saa nne hapa Makao Makuu ya CCM Dodoma, viko vitu vingi  vinaendelea nje ya Ukumbi… wapo wanaoimba na kushangilia, wengine wapo wakiendelea kusubiri kile kitakachotangazwa baada ya Halmashauri Kuu kumaliza Kikao. Watu ni wengi sana nje ya Ukumbi, nimebahatika kukutana na wenyeji wa Mji wa Dodoma na watu ambao wanafanya shughuli zao kwenye Majengo yanayozunguka Makao Makuu hayo,...

KUTOKA DODOMA,, HAWA NDIO WAGOMBEA WATANO WALIOTAJWA NA CCM..!!

July 10 2015 inaripotiwa taarifa nyingine kutoka Dodoma Tanzania… Watu wengi wamekaa tayari kujua nini ambacho kitaamriwa Dodoma kuhusu Mgombea Urais ambae anateuliwa na CCM kugombea Urais wa Tanzania 2015. Majina yalikuwa mengi zaidi ya 38, hii ndio list ambayo imetangazwa kuingia Top Five kupitia ukurasa wa Twitter wa CCM @ccm_tanzania...

Sunday, June 14, 2015

NA HII NDIYO LIST YA WASHINDI WOTE WA TUZO ZA KTMA..

Bendi Bora ya Mwaka - FM Academia Wimbo bora wa kushirikiana/kushirikishwa - MwanaFA ft. Ali Kiba - Kiboko Yangu Msanii Bora Chipukizi Anayechipukia - Barakah Da Prince Wimbo bora wenye vionjo vya asili ya Tanzania - Waite - Mrisho Mpoto Wimbo bora wa Zouk/Rhumba - Ntampata Wapi - Diamond Platnumz Wimbo bora wa Afro-Pop - Mwana - Ali Kiba Video ya bora ya muziki ya Mwaka - Mdogo Mdogo - Diamond Platnumz Mtayarishaji bora wa nyimbo wa mwaka...

HIZI NI BAADHI YA PICHA ZA TUKIO ZIMA LA KILI MUSIC AWARDS..

June 13 2015 katika ukumbi wa  Mlimani City Dar, Ndipo ilipofanyika KTMA. washindi wametajwa na kukabidhiwa Tuzo zao.. Hapa kuna picha zao zote kutoka kwa Milllard Ayo, unaweza kucheki kuanzia mwanzo mpaka mwisho tukio lilivyokuwa.. ...