Ni jirani na Ubalozi wa Marekani na jirani kabisa na Police Oysterbay.
Mtu aliyefanya kitendo hicho alitoka mbio, mlinzi akamkimbiza lakini bahati mbaya akateleza na kuanguka na Mtu huyo akawahi pikipiki na kutoweka eneo la tukio.
Source: Jamii Forumns
Mfanyabiashara Said Mohammed Saad anamiliki Kampuni ya Home Shopping Center iliyopo Kariakoo Mtaa wa Swahili na Msimbazi
Said amelazwa Trauma (AMI) Hosp - Masaki