Blogger Widgets

Friday, August 30, 2013

DIAMOND AMSHANGAZA MZEE GURUMO!!

Msanii  wa muziki wa kizazi kipya nchini, Maaruf kama Diiiamond Platnumz, Aliwaacha watu midomo wazi katika uzinduzi wa video yake mpya, Baada ya kumzawadia Mzee Gurumo, mwanamuziki wa miaka mingi na mkongwe aliyetangaza kustaafu mziki siku chache zilizopita zawadi ya Gari aina ya "Fun Cargo"


Tukio hilo limetokea usiku huu ndani ya ukumbi wa SERNA HOTELkatikati ja jiji la DSM ambapo Diamond Platnum anazindua video yake mpya huku Kiingilio cha show hiyo ikiwa ni bureeeeeeeeeeeee...