Blogger Widgets

Saturday, June 28, 2014

BAADHI YA PICHA ZA YALIYOJIRI JANA KATIKA TUZO ZA WATU ZIKO HAPA..!!!

Mzee Majuto akiwa kwenye red carpet ya Tuzo za watu
 Salum Kikeke akipata ukumbusho kwenye tuzo za Watu
 NI kupendeza tu kwenye  tuzo za watu
 Babu Tare pamoja na Said Fela wakiwa kwenye red Carpet ya Tuzo za watu
JB naye aliamua kutokelezea kwenye red carpet ya Tuzo za watu
 Madam Ritta akiwa kwenye red Carpet ya Tuzo za watu