Blogger Widgets

Monday, July 7, 2014

BRAND NEEW: HII NDIO ILE KALI YA ZOTE, KUTOKA KWA PLATNUMZ, TAZAMA VIDEO YA MDOGOMDOGO..!!

Ile video iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu kubwa na wapenzi wa muziki wa Bongo Fleva, ndio hii sasa. Kutoka kwa Diamond Platnumz, hii ndio video yake mpya. Wimbo unaitwa Mdogo Mdogo, na hii ndio video yake iliyofanyka nje ya nchi chini ya uangalizi wa kampuni kubwa inayotisha kwa kutengeneza videos za wasanii wengi wakubwa wakiwemo P.square, The Godfather.

Itazame Video hiyo hapa..