Video hii pamoja na ile ambayo ameshirikiana na Iyanya kutoka Nigeria Diamond Platnumz ameahidi kuziachia kesho wakati anasherehekea siku ya kuzaliwa kwa mama yake mzazi ingawa kuna suprise ambayo imesemekana anataka kumfanyia zaidi ya kuachia video hizo.
Hii ni ni miongoni mwa video atakazoachia July 07,audio imefanywa na producer Tuddy Thomas wimbo unaitwa Mdogo Mdogo umefanywa na Madirector walewale waliofanya video kadhaa za mastar wa Afrika, The God Father.