Blogger Widgets

Thursday, November 13, 2014

BREAKING NEWS: Msanii wa HipHop Geez Mabovu afariki Dunia..

Geez Mabovu ni ambae hajavaa shati. Kabla mwaka 2014 haujaisha idadi ya watu maarufu wa Tanzania waliotangulia mbele za haki imezidi kuongezeka na hii ni baada ya taarifa kutoka Iringa zilizoanza kusambaa kuanzia saa tatu usiku November 11 2014. Taarifa zilizothibitishwa ni kwamba rapper Geez Mabovu ambae ni maarufu kwenye muziki wa hiphop Tanzania, amefariki dunia kwenye hospitali aliyokua amelazwa nyumbani kwao Iringa alikokwenda wiki mbili...

Friday, November 7, 2014

MPYA HII KUTOKA WHATSAPP,, WAONGO SASA BAASI..

Nakumbuka moja ya taarifa kubwa zilizowahi kuchukua headlines mwezi Februari 2014 ilikuwa ni stori ya kuuzwa kwa mtandao wa Whatsapp kwa mmiliki wa Facebook, leo kuna taarifa nyingine mpya kuhusiana na watumiaji wa mtandao wa Watsapp. Haya ni mambo manne mapya ambayo huenda hujayasikia kuhusu WhatsApp;- 1. Huduma hiyo inapatikana kupitia Whatsapp katika simu zote za mkononi zenye uwezo wa kuitumia 2. Tick ya kijivu ina maana kuwa ujumbe umetumwa,...

BRAND NEW: HII NDIO TRACK YA GOSBY INAYOITWA "WEMA SEPETU" ILIYO MAKE HEADLINES..

Kila alieona jina la wimbo ‘Wema Sepetu’ amekua na hamu ya kujua moja kwa moja nini kimeimbwa ndani ya hii single ya mkali Gosby ambayo single zake zilizotangulia kama ile ya ‘Monifere’ ft. Vanessa Mdee zimempa nafasi ya kupokewa zaidi na Wabongo. Ukitaka kuisikiliza na kudownload hii mpya ya ‘Wema Sepetu’ unaweza kubonyeza hapa DOWNLOAD  Wema Sepetu LYRICS ARTIST: GOSBY SONG: WEMA SEPETU PRODUCER: JEFFREY AND CJAMOKER LABEL:...

Saturday, November 1, 2014

HAYA NDIYO ALIYOSEMA CHID BENZ KUHUSIANA NA YE KUKAMATWA NA DAWA ZA KULEVYA AIRPORT..

Imekua stori namba 1 kwa mwezi wa October 2014 inayomuhusu msanii kwenye familia ya bongofleva iliyoandikwa au kuripotiwa na kila aina ya chombo cha habari kuanzia TV, Magazeti na hata mitandaoni. Chidi Benz alikamatwa na dawa za kulevya kete 14 pamoja na bangi kwenye uwanja wa ndege Dar es salaam akielekea Mbeya kwenye show aliyokua anatakiwa kuifanya kesho yake lakini ilishindikana kutokea baada ya kukamatwa na Polisi, baadae akafikishwa Mahakamani...