Blogger Widgets

Sunday, June 14, 2015

NA HII NDIYO LIST YA WASHINDI WOTE WA TUZO ZA KTMA..

Bendi Bora ya Mwaka - FM Academia Wimbo bora wa kushirikiana/kushirikishwa - MwanaFA ft. Ali Kiba - Kiboko Yangu Msanii Bora Chipukizi Anayechipukia - Barakah Da Prince Wimbo bora wenye vionjo vya asili ya Tanzania - Waite - Mrisho Mpoto Wimbo bora wa Zouk/Rhumba - Ntampata Wapi - Diamond Platnumz Wimbo bora wa Afro-Pop - Mwana - Ali Kiba Video ya bora ya muziki ya Mwaka - Mdogo Mdogo - Diamond Platnumz Mtayarishaji bora wa nyimbo wa mwaka...

HIZI NI BAADHI YA PICHA ZA TUKIO ZIMA LA KILI MUSIC AWARDS..

June 13 2015 katika ukumbi wa  Mlimani City Dar, Ndipo ilipofanyika KTMA. washindi wametajwa na kukabidhiwa Tuzo zao.. Hapa kuna picha zao zote kutoka kwa Milllard Ayo, unaweza kucheki kuanzia mwanzo mpaka mwisho tukio lilivyokuwa.. ...

Monday, June 8, 2015

UMESIKIA HII YA WAGOMBEA WA CCM KUKIMBIA MDAHALO?? SIKIA HAPA..!

Leo June 08 2015 kulikuwa na mdahalo wa Wagombea wa Urais TZ ambao wanawakilisha CCM.. Mdahalo ulianza saa moja jioni Hyatt Regency Dar lakini Wagombea wengi hawakufika aliyefika ni Mgombea mmoja tu, Balozi Amina Salum Ali, wapo waliotoa sababu za kutofika lakini wengine hakukuwa na taarifa yoyote. Ali Mufuruki ni mwenyekiti wa Waandaaji wa Mdahalo huo, hiki ndio alichokisema baada ya kutokea kwa hali hiyo. ”Tumesikitika...