Woman, Mistaken for Dead, dies for real of Heart attack After waking up at own funeral!!!!
Mwanamke mmoja raia wa Urusi, alifariki ghafla kwa mshtuko wa Moyo baada ya kuamka na kujoikuta katika msiba wake mwenyewe. Fagilyu Mukhametzyanov, 49, alithibitishwa kimakosa na Madaktari kuwa amekufa, angali bado alikuwa mzima, hivyo taratibu za maziko zikafanywa tayari kwa mwanamke huyo kuzikwa.
Kwa hali isiyo ya kawaida, baadae mama huyu alizinduka na kujikuta katika jeneza akiwa amezungukwa na ndugu zake wakiomboleza, ndipo alipoanza kupiga mayowe baada ya kugundua alikuwa anakaribia kuzikwa mzima.
Mukhametzyanov, mkazi wa Kazan, Russia, alipatwa tena na mshtuko baada ya tukio hilo na kukimbizwa tena hospitali na kuthibitishwa kuwa amekufa tena kwa mara ya pili, lakini sasa ilikuwa ni kweli!!!
Friday, June 14, 2013
Thursday, June 13, 2013
BREAKING NEWS!!! Pigo lingine kwa Tasnia ya Music Tanzania,,, Msanii Langa Afariki dunia!!!
Langa Kileo (msanii wa Hip Hop Tanzania, pichani) amefariki dunia leo hii.
Langa alipelekwa hospitali akiwa hajitambui. Anadaiwa kuwa alikumbwa na Malaria kali sana, Hali iliyopelekea kukimbizwa Hospitali ya Muhimbili jana.
Uchunguzi wa chanzo cha kifo chake bado unaendelea.
Msanii Langa aliwahi kutamba na kikundi cha Wakilisha pamoja na witness na sara ni miongoni mwa wasanii wakongwe wa bongo flava nchini Tanzania.
Mungu amrehemu.
CELEBS....!!!!!
How Much Does Jay-Z Pay For Jeans?
Jay Z's Jeans Cost Less Than You Probably Think
Times are tough, even for celebs. So when someone as high profile as rapper Jay Z is spotted heading out to see a movie with Beyonce wearing his G-Star New Riley 3D Loose Tapered in Plate denim (whew, take a breath), onlookers immediately suspect a hefty price tag. But surprisingly enough, according to The Gossip Table, these jeans run only about $220.
Granted, for us average folk, that's still pretty pricey, but with a net worth that's reportedly around the $500 million range, it's good to see Jay Z staying somewhat grounded.. Source: Huffingtonpost.com
2 Chainz arrested at the airport.
2 Chainz arrested at the airport.
Just days after being the victim of an armed robbery, 2 Chainz has been arrested. The rapper was nabbed at LAX airport for marijuana possession. It must have been 2 Chainz’s lucky day though because he was released soon after and even posed for a photo with the cops who arrested him. Source:MTV Base
Sunday, May 5, 2013
UPDATES: Mlipuko wa bomu kanisa la Olasiti Arusha
Hadi sasa Jeshi la polisi linamshikilia mtu mmoja akihusishwa na mlipuko uliotokea katika kanisa la Katoliki Olasiti Arusha
Kwasasa majeruhi wanaripotiwa kuwa 30, ila watu watatu wameumia vibaya sana na hali zao sio nzuri.
RPC mkoa wa Arusha ametoa hotuba yake na kusema ni tukio la kigaidi, pia amesema wanawasaka wote waliohusika na tukio hilo na ameomba watanzania wawe watulivu wakati wanaendelea na uchunguzi wa tukio hilo.
Uzinduzi wa kanisa hilo la Mtakatifu Joseph parokia ya Olasiti umesitishwa hadi hapo utakapotangazwa baadaye..

Picha zaidi juu ya tukio hilo:
![]() |
| Mkuu wa mkoa wa Arusha akielekea eneo la tukio |
![]() |
| Baadhi ya Majeruhi wa tukio hilo |
BREAKING NEWS! KANISA LALIPULIWA ARUSHA!!!
BREAKING NEWS!!
Mlipuko mkubwa umetokea katika kanisa Katoliki la Mt. Joseph Mfanyakazi, Parokia ya Olasiti Arusha. Watu kadhaa wamejeruhiwa wakati wa ibada ya uzinduzi wa kanisa hilo iliyokuwa ikiongozwa na Balozi wa Papa nchini.
Haijajulikana kama ni bomu au la ila ni mlipuko mkubwa na watu wamejruhiwa..
Ukiwa Arusha tune FM 106.70
Nukuu kutoka Redio Maria
....watu wengi wamejeruhiwa miguu
......ni mlipuko
.....Olasiti Arusha
...kitu kilirushwa au kutokea chini kwenye moramu iliyo mwagwa....
....kuna watu wanahisiwa kuja eneo la tukio kwa gari na kurusha hiko kitu na kukimbia kutokomea na gari...maelezo ya mtoto mdogo anaye sadikiwa kuona watuhumiwa....
...watoto wengi na kina mama wamejeruhiwa....
Stay with us for more updates..

Friday, May 3, 2013
CCM WAMJIA JUU MKUU WA MKOA ARUSHA.. Wadai amemwongezea umaarufu Lema
• WADAI AMEMWONGEZEA UMAARUFU LEMA, CHADEMA
![]() |
| Mkuu wa Mkoa Arusha, Ndg. Magesa Mulongo |
VIGOGO wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakiwemo wabunge, wamemjia juu Mkuu wa Mkoa (RC) wa Arusha, Magessa Mulongo kwa jinsi alivyoshughulikia kesi ya Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema (CHADEMA).
Wabunge hao walikiambia chanzo hiki mjini Dodoma kuwa kesi ya uchochezi iliyofunguliwa na serikali dhidi ya Lema kwa shinikizo la mkuu huyo... >>Read More>>>
Friday, April 26, 2013
MBUNGE WA ARUSHA MJINI AVAMIWA NA POLISI NA KUKAMATWA USIKU WA MANANE NYUMBANI KWAKE!!!
![]() |
| Godbless Lema alipowasili chuo cha Uhasibu Arusha |
Mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema, ametiwa hatiani na jeshi la polisi kwa kile kinachodaiwa ni uchochezi wa vurugu zilizojitokeza siku ya jumatano katika chuo cha uhasibu Arusha. Pia imedaiwa kuwa mbunge huyo ndiye aliyesababisha wanafunzi wa chuo hicho wamfanyie vurugu mkuu wa mkoa wa Arusha alipofika katika eneo hilo. Usiku wa kuamkia Leo, Polisi wamevamia nyumba ya Mbunge huyo... Read More >>>
Wednesday, April 24, 2013
Habari kamili na picha juu ya tukio la mgomo wa Wanafunzi Chuo cha Uhasibu Arusha..
Reported by Aloyce Jerry
Kikosi cha kutuliza ghasia mkoani Arusha kililazimika kutumia Mabomu ya Machozi kuwatuliza wanafunzi waliokuwa wakishinikiza kuandamana baada ya mwanafunzi mwenzao kuuwawa kwa kuchomwa kisu na watu wasiojulikana majira ya saa nne usiku wa kuamkia leo. Tukio hilo liliamsha hisia za wanafunzi hao na kuwafanya wakusanyike kuelekea kwa mkuu wa mkoa wa Arusha kwa madai kwamba matatizo yao huwa hayafikishwi ipasavyo, hivyo wanataka kuyawasilisha wenyewe. Juhudi za uongozi wa chuo kuwatuliza wanafunzi hao zilishindikana, na ilipofika majira ya saa nne asubuhi, Mbunge wa jimbo la Arusha alifika katika eneo hilo kuwasikiliza wanafunzi hao. "Tunatoa dakika thelathini mkuu wa mkoa awe ameshafika hapa, kama hajafika ndani ya muda huo, tunaandamana wote, mimi mbele nyie nyuma mpaka ofisini kwake" alisema Mheshimiwa Lema.
Baada ya mkuu wa mkoa kufika eneo la tukio aligoma kuzungumza na wanafunzi hao, akidai kwamba hawezi kuongea mpaka Mh.Lema aondoke, ndipo atapanda kuzungumza na pia alilalamika kwamba hamna kipaza sauti kwa hiyo hawez kupaza sauti yake kuzungumza na watu wasio na nidhamu. Maneno hayo yalipandisha hasira ya wanafunzi hao lakini walitulizwa, na kipaza sauti kikaandaliwa katika ukumbi wa chuo maaruf kama "main cafetaria" ili mkuu huyo azungumze.
Wanafunzi walikusanyika eneo hilo kumsikiliza lakini alivyoanza kuongea, wanafunzi walisikika wakimzomea kwa madai kwamba ameonesha dharau. Wanafunzi walianza kuzomea na kumrushia chupa zaa maji mkuu wa mkoa na hapo ndipo ilibidi mabomu ya machozi yatumike kuwatuliza wanafunzi wa chuo hicho. Kwa muda wa masaa mawili imekuwa ikisikika milio ya mabomu chuoni hapo mpaka hali ilipo tulia kabisa.
Kwa sasa hali ni shwari chuoni hapo ila polisi wametapakaa huku na kule wakisema wanamtafuta Mbunge wa jimbo la Arusha kwa madai kuwa ndiye anaye chochea mgomo huo wa wanafunzi. Mbunge huyo alikimbia kuelekea kusikojulikana na kutelekeza gari yake chuoni hapo, ambayo polisi walilazimika kuivuta kwa "breakdown" car kuelekea kituo cha polisi. kama inavyoonekana katika picha.

| Mh.Godbless Lema akihutubia wanafunzi waliokusanyika eneo la "freedom square" chuoni hapo. |

| Gari ya Mh.Godbless Lema ikiochukuliwa na polisi kutoka eneo la tukio |
![]() |
| Polisi wakichukua gari ya mbunge wa jimbo la Arusha |
MABOMU YA MACHOZI NA RISASI ZATUMIKA KUWATULIZA WANAFUNZI CHUO CHA UHASIBU ARUSHA!!!!
Kikosi cha kutuliza ghasia mkoani Arusha chalazimika kutumia mabomu ya machozi na kufyatua risasi hewani kuwatuliza wanafunzi waliokuwa wametanda chuoni hapo na kugoma kumsikiliza mkuu wa mkoa, kwa madai kwamba ana dharau. Mabomu na risasi zilirindima eneo hilo huku wanafunzi wakikimbia hovyo huku na kule kwa hofu na woga. Picha na habari zaidi zitakujia hapa hapa...
MKUU WA MKOA AGOMA KUONGEA NA WANAFUNZI KWA MADAI HAWEZI KUONGEA BILA KIPAZA SAUTI!!!
Baada ya mkuu wa mkoa kufika chuo cha uhasibu Arusha,
alishindwa kuongea na wanafunzi hao kwa madai kwamba hawez kuzungumza bila kipaza sauti.
"Mkuu wa mkoa mwenyewe anaitwa hapa kwenye tukio anakuja kama anakuja kwenye send-off wakati kaitiwa msiba hapa" Ni maneno ya mbunge wa jimbo la Arusha bwana Godbless Lema.. pia Lema amesikika akisema "Mkuu huyo wa mkoa amekuja hapa si kwa ridhaa yake, bali ni cheo tu kimemleta hapa" Wanafunzi wa chuo hicho kwa sasa hawataki kusikia lolote ni maandamano tu wanatka. HABARI ZAIDI UTAZIPATA KUPITIA HAPAHAPA...

BREAKING NEWS!!!!! YANAYOJIRI NOW CHUO CHA UHASIBU ARUSHA!!!
Wanafunzi wagomea masomo na kudhamiria kuandamana kuelekea kwa mkuu
wa mkoa wa Arusha baada ya mwanafunzi mwenzao kuuwawa kwa kisu usiku wa
jana, saa nne usiku wakati akitokea chuo kujisomea. Katika picha ni
matukio yanayoendelea sasa chuoni hapo, wakiongozwa na Mbunge wa Jimbo
la Arusha bwana Godbless Lema..
KINACHOENDELEA NOW KATIKA PICHA CHUO CHA UHASIBU ARUSHA...
KINACHOENDELEA NOW KATIKA PICHA CHUO CHA UHASIBU ARUSHA...
Subscribe to:
Posts (Atom)