Hatimaye msajili wa vyama vya siasa Nchini John Tendwa ameibuka na kusema sasa anaandaa kalamu yake kukifuta Chama kikuu cha upinzani nchini CHADEMA.
Katika Taarifa yake kwa vyombo vya habari muda mfupi uliopita Tendwa amesema CHADEMA wanataka kuanzisha kikundi cha mgambo ambacho ni kinyume na sheria,katiba ya nchi na sheria za usajili wa vyama.
Msajili huyo ambaye inadaiwa ni mwanachama mwaminifu wa CCM amesema kwamba kama madai ya CHADEMA ni kuanzisha kikundi cha kujilinda dhidi ya Green Guard wa CCM madai hayo hayana msingi wowote kwani kama CHADEMA wana....>>Read More<<
Monday, July 15, 2013
CHADEMA HATARINI KUFUTIWA USAJILI!!!!
10:26 PM