Wakati mke wa rais wa 42 wa Marekani, Bill Clinton akitoa risala huko Las Vegas Marekani kuna Mwanamke mmoja ambae hakujulikana ni nani, alitoka kwenye upande wa wanaosikiliza na kumrushia Hillary kiatu ambacho hata hivyo alifanikiwa kukikwepa.
Imefahamika kwamba Mwanamke huyo hakua kwenye orodha ya waalikwa katika risala hiyo na walinzi walimshtukia kabla ya hicho kitendo ila kabla hawaja mdaka tayari alikua amesharusha kiatu.
Baada ya Hillary Clinton kufanikiwa kukiwepa aliweka utani kidogo watu wakacheka kisha akaendelea na risala wakati huo Mwanamke huyo ameshajisalimisha na kunyoosha mikono juu akiwa anatolewa nje ya ukumbi.
Video ya tukio lenyewe ipo hapa...