Blogger Widgets

Friday, June 27, 2014

BRAND NEW: ILE VIDEO ILIYOSUBIRIWA KWA HAMU,, NITASUBIRI, KUTOKA KWA JUX,, HII HAPA..!!!

Ni video iliyofanyika China ambayo kabla haijatoka tayari ilitengeneza headlines kwamba mrembo alieonekana ndani ya video ni Jackie Cliff mpenzi wake Jux ambae aliingia kwenye headlines mwishoni mwa mwaka 2013 kutokana na kudaiwa kukamatwa na dawa za kulevya China.
Kipisi cha video kilichotangulia kutoka ndio kilifanya watu waseme ni Jackie Cliff yupo kwenye hiyo video manake sura ya mrembo kwenye hicho kipisi haikuonyeshwa lakini umbo lake lilifanana na Jackie.
Sasa video yenyewe ndio imetoka na kila kitu so itazame hapa chini.