Blogger Widgets

Tuesday, June 24, 2014

BRAND NEW: TRACK MPYA TOKA KWA JOH MAKINI,, NAJIONA MIMI, SIKILIZA NA DOWNLOAD HAPA!


Kutoka Kwa Mwamba wa Kaskazini, River Camp Soldier, Joh Makini, Akiwakilisha vyema kundi la Weusi,, Huu ni wimbo wake mpya, Titled "Najiona mimi" au "I see me" Wimbo umetengenezwa na Nah Real na Chizan Brain.. Sikiliza na Download hapa..