Blogger Widgets

Saturday, June 21, 2014

BREAKING NEWS: AJALI MBAYA IMETOKEA ENEO LA MAKONGO,, 18 WAHOFIWA KUFA..!!!

Gari aina ya Toyota Coaster inayofanya safari zake kati ya Ubungo na Tegeta jijini Dar es Salaam imepata ajali mbaya leo mchana baada ya kugongana na gari lingine na kusababisha vifo vya watu wanaokadiriwa kuwa zaidi ya 18 katika eneo la Makongo Sekondari jijini Dar. Maiti bado zipo eneo la tukio, habari zaidi zitakujia hivi punde.!