Blogger Widgets

Saturday, June 21, 2014

UPDATES NA PICHA ZA AJALI ILIYOTOKEA ENEO LA MAKONGO, DAR.. [TAHADHARI:BAADHI YA PICHA NI ZA KUTISHA]












Inasemekana Ajali hiyo ilitokea baada ya coaster ya abiria kukatika usukani ikiwa kwenye mwendo kasi na kusababisha coaster hiyo kukosa mwelekeo na kuvaana na gari ndogo kabla ya canter iliyokuwa kwenye mwendo kasi kuyagonga magari yote katika ajali hiyo.. Watu zaidi ya 20 wanahofiwa kupoteza maisha.

Picha zote na reporter wetu FRED MELCH NDAJI