Director wa video Adam Juma ni miongoni mwa watu waliopewa heshima kwa kuleta mabadiliko makubwa kwenye bongofleva ambapo mkono wake umeonekana kwenye video nyingi za bongofleva ambazo zimefikia kuchezwa hata na baadhi ya vituo vikubwa vya TV Afrika.
Time hii Adam ameuweka mkono wake kwenye video mpya ya Dully Sykes ‘togola’ ambayo ndio hii hapa chini, unaweza kuitazama..