Blogger Widgets

Tuesday, September 9, 2014

BRAND NEW AUDIO: KUTOKA KWA JUX,, TRACK NYINGINE KALII HII DOWNLOAD HAPA..

Baada ya ile ya Uzuri wako na Nitasubiri kufanya vyema katika soko la bongo fleva, sasa track nyingine kali na mpya kutoka kwa Jux ndio hii hapa.. Wimbo unaitwa Sisikii, ambao ni Production ya Bob Maneck toaka A.M Records..
Sikiliza na Download hapa..