Kutoka katika ukumbi wa Club D Arusha, hizi ni baadhi picha za onesho la Kumtafuta Miss na Mr. wa chuo cha uhasibu Arusha. Hii ilifanyika jana Ijumaa, kwenye ukumbi wa juu wa club D moshono..
Mshindi Wa Mr.IAA 2015 |
Chief Judge, Idris Sultan akitangaza washindi |
Washindi wa Miss and Mr.IAA 2015 |
Mshindi wa Miss IAA 2015 |
Former Miss IAA 2014 |
Majudge wa shindano hilo.. |
Washiriki wa Miss IAA 2015 |
Mshiriki wa Mr.IAA 2015 |
Mshiriki wa Mr.IAA 2015 |
Red Carpet |
Red Carpet |
Msanii G.Nako kutoka kundi la weusi akiperform katika shindano hilo |
Msanii Hisia, akiperform katika shindano hilo.. PICHA ZOTE KWA HISANI YA CLIQUE PIXELS ARUSHA |