Blogger Widgets

Saturday, May 31, 2014

Haya ndiyo aliyozungumza kitale juu ya Mkude Simba!!!!

Mkude Simba ni mmoja tu ukimuona mwingine ujue feki maana WATANZANIA wanapendaga sana kutafuniwa utasikia kama sio msanii mwenzangu litatokea lijitu tu.!! ila Mungu ni mmoja na yu pamoja nami wakati wa Kitale Anakuja walitokea kina KITALE wengi.....

KATIKA PICHA NI GEORGE TYSON MASAA MANNE KABLA YA AJALI ILIYOCHUKUA UHAI WAKE NA GARI ALILOPATA NALO AJALI!!

Dj Choka ambae kwa sehemu kubwa alikua kwenye safari moja ya Dodoma na Marehemu George Tyson, ameandika kwenye http://djchokamusic.com/ kwamba Marehemu alikuwa yupo kijiji cha Chilonwa Chamwino kwenye utoaji wa madawati katika shule ya msingi Chaula iliyopo Dodoma. Baada ya kumaliza shughuli hii huku akiwa kama producer wa The Mboni Show mauti yalimkuta majira ya saa 12 jioni ikiwa ni saa 4 tu toka tuanze safari ya kurudi Dar es Salaam...

Tuesday, May 27, 2014

WACHEZAJI NA KOCHA, WOTE NDANI YA STUDIO! HUU NDIO WIMBO WALIOIMBA WACHEZAJI WA MADRID BAADA YA KUSHINDA UEFA!!

Baada ya kushinda taji la 10 la kihistoria la ligi ya mabingwa wa ulaya, timu nzima ya Real Madrid iliingia studio kuimba wa #HalaMadrid. Wimbo huo tayari umetoka utazame hapo chini…...

Inaskitisha hii! Meneja Wa MJ alipanga kumteka staa huyoo..!!!

Meneja wa aliyekuwa mfalme wa Pop duniani Michel Jackson alijaribu kumteka staa huyo kumuokoa kutokana na dawa za kulevya. Meneja huyo Ron Weisner ambaye ndiye aliyekuwa akidhibiti taaluma na kipaji cha marehemu Michael tangu enzi za ujana wake alikuja na.... >>READ MORE<&l...

Saturday, May 24, 2014

Msikie Mkude Simba Na Vituko Vyake Tena Hapa...

Mkude Simba Tena.......

Je, Hiki anachofanya Tony Braxton kwa watoto wake ni sahihi??

Katika harakati za kutafuta mbinu bora za malezi mazuri kwa watoto wake, Nyota wa muziki wa R&B wa nchini Marekani Tony Braxton anafanya jitihada za kuwafundisha watoto wake usimamizi mzuri wa fedha kwa kuwalipisha kodi ya kuishi katika nyumba yake kwa madai kuwa anawafundisha maisha. Braxton aliyewahi kutamba na vibao vikali kama Unbreak My Heart ni mama wa watoto wawili wa kiume Denim mwenye umri wa miaka 12 na Diezel mwenye miaka 11. Ingawa...

Tuesday, May 20, 2014

ULIKUWA UNAJUA?? HUYU NDIO RAIS MASKINI ZAID DUNIANI..!!!

Rais Jose Mujica akiwa na Papa Francis Sifa kwa wanasiasa kokote duniani ni nadra, hasa kwenye mitandao ya kijamii, lakini watu wamemmiminia sifa Rais wa Uruguay baadhi wakitamani kama marais wao wangekuwa kama Rais Jose Mujica wa Uruguay. Kwenye Twitter kuna zaidi ya ujumbe laki moja wa watu nchini Uhispania wakitamani kama...  >>SOMA ZAIDI<&l...

Monday, May 19, 2014

HII NAYO KALI,, CHEKI RAISI HUYU WA NCHI ANAYECHEZA SOCCER LA KULIPWA..!!!

Nikikupa nafasi ya kuniambia namba ngapi atakua anacheza huyu president wan chi kwenye hili soka unaweza kuotea ni namba ngapi?tunaweka kwenye story kubwa kutokana na kutotokea mara kwa mara kwa taarifa hizi. Sasa unaambiwa Klabu moja huko Bolivia (Sport Boys) imemsajili rais wa Bolivia Evo Morales kucheza kama kiungo wa kati kuanzia Agosti mwaka huu na mgongoni atakua na jezi namba 10. Mshahara wa Rais Morales kwenye timu hii atakua akilipwa...

Sunday, May 18, 2014

MKUDE SIMBA TENA...!!! Sikiliza na Download kali hii..

...

VIDEO: CHEKI VIONJO VYA MOVIE MPYA HII TOKA KWA JOTI..!!!!

Cheki vionjo vya movie mpya hii toka kwa Joti....

Friday, May 16, 2014

NA HAYA NDIO YALIYOMO KATIKA MAGAZETI YA LEO,, Ijumaa, May 16..!!

>>SOMA ZAIDI<&l...

Thursday, May 15, 2014

BRAND NEW MUSIC: Victoria Kimani ft Diamond and Ommy dimpoz.. Skiliza na Download Hapa..!!

...

Wednesday, May 14, 2014

UMESIKIA HII?? DIAMOND PLATNUMZ AZIDI KULA SHAVU,, Sasa amekuwa nominated kwenye tuzo za BET..!!

Baada ya msanii mkubwa wa Bongo fleva, Diamond Platnumz kuweka headlines mitaani kwa kushiriki kwenye tuzo za MTV base (Mama Awards), Amepata tena dili hili kubwa zaidi kuwahi kutokea kwa wasanii wa bongo. Sasa Diamond Platnumz ametajwa kuchaguliwa kushiriki kwenye tuzo za kituo kikubwa cha television cha marekani maarufu kama BET (Black Entertainment Television) ambapo yupo katika kipengele cha wanaogombea tuzo ya BEST INTERNATIONAL ACT AFRICA....

Tuesday, May 13, 2014

BRAND NEW MUSIC: Download na skiliza Track mpya toka kwa Niki wa pili na Gnako ft Ben Paul

...

Unapenda kucheka? Sikiliza kali hii kutoka kwa Mkude Simba..!!

...

Monday, May 12, 2014

HAYA NDIYO YALIYOMO KWENYE MAGAZETI YA LEO,,, Jumatatu, May 12, 2014

>>SOMA ZAIDI<&l...

Saturday, May 10, 2014

Zilizo make Headlines kwenye Magazeti ya leo,, Jumamosi, May 10, 2014..!!!

>>SOMA ZAIDI<<...

Thursday, May 8, 2014

Cheka tena na Mkude Simba Hapa.. Sikiliza na Download hapahapa..

...

WAGONJWA WA DENGUE WAFIKIA 376...!!

Homa ya dengue inaendelea kushika kasi nchini baada ya takwimu za Januari hadi juzi kutoka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, kuonyesha kuwa watu 376 wamekwishagundulika kuugua ugonjwa huo. Mtaalamu wa Ufuatiliaji wa Magonjwa wa wizara hiyo, Dk Janeth Mugamba alisema..... >>Soma Zaidi<<...

Wednesday, May 7, 2014

Hivi ulishasikia hivi vituko vya Mkude Simba? Hebu sikiliza hii...

Mkude Simba - Chenji ...

Tuesday, May 6, 2014

YALIYOMO KWENYE MAGAZETI YA LEO,, Tuesday, May 6, 2014

>>Soma Zaidi<&l...

Hello Hello Tanzania..!! Ulikuwa unajua wimbo huu ni kazi ya Ditto na Amini? Sikiliza na download hapa..!!

Ni wimbo uliotungwa na Amini pamoja na Ditto wa THT ambao umekua maarufu kwa kipindi kifupi cha sherehe za miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar... ...

Sunday, May 4, 2014

Hawa ndio washindi wote wa Tuzo za KTMA!! Diamond Platnumz, kaondoka na tuzo zote saba katika Categories zote Saba alizokuwa Nominated!!

Msanii wa kizazi kipya, Nasib Abdul "Diamond Platinumz" Usiku wa Jana May 3, 2014 amedhihirisha kuwa yeye ni msanii mkali kwa kuchukua tuzo saba katika Tuzo za Kilimanjaro 2014 (KTMA). Diamond amejinyakulia tuzo zifuatazo:- Msanii Bora wa Kiume, Video Bora ya Mwaka. Mtumbuizaji bora wa Muziki wa Kiume. Wimbo Bora wa Afro Pop. Wimbo Bora wa Mwaka. Mtunzi Bora wa mwaka Kizazi Kipya. Wimbo Bora wa Kushirikisha/Kushirikiana. Washindi...

Baadhi ya Picha ya mambo yaliyojiri kwenye tuzo za KTMA,, Diamond na Wema Waendelea Ku-make Headlines..!!!!

Diamond Platnumz akipokea tuzo toka kwa Wema Sepetu!!! Diamond Na Wema Sepetu on Stage baada ya kuitwa kupokea Tuzo..!! Weusi hatuna Kwereee!!!!! kundi la Weusi on stage wakifanya yao!! Washereheshaji wa shughuli ya leo Mpoki na Shadee wakiwa kazini. >>SOMA ZAIDI<<...