Blogger Widgets

Sunday, May 4, 2014

Baadhi ya Picha ya mambo yaliyojiri kwenye tuzo za KTMA,, Diamond na Wema Waendelea Ku-make Headlines..!!!!

Diamond Platnumz akipokea tuzo toka kwa Wema Sepetu!!!
Diamond Na Wema Sepetu on Stage baada ya kuitwa kupokea Tuzo..!!
Weusi hatuna Kwereee!!!!! kundi la Weusi on stage wakifanya yao!!
Washereheshaji wa shughuli ya leo Mpoki na Shadee wakiwa kazini.