Blogger Widgets

Monday, June 23, 2014

Elizabeth Michael "Lulu" nae aingia kwenye mziki.. Sikiliza wimbo huu wa Mapacha alioshirikishwa..!!


Wimbo unaitwa ‘time for the money’ umetengenezwa kwenye studio za Soround Sound zilizopo THT na producer wa wimbo huu ni Tudd Thomas ambapo ndani kashirikishwa mwigizaji Elizabeth Michael ‘Lulu’