Tukio hili la kushangaza, limetokea maeneo ya Sakina Arusha, na linahusishwa na imani za kishirikina. Chatu Mkubwa alionekana katika nyumba ya Bwana mmoja, ambaye jina linahifadhiwa na kusababisha taharuki kubwa kwa wafanyakazi wa nyumba hiyo na watu mtaani hapo.. Habari zisizo rami zinasema Mzee mwenye nyumba hiyo ni tajiri Mkubwa hapa mjini na alipopigiwa simu kuhusu chatu huyo alisema Chatu huyo asiuwawe.. Lakini raia wema hawakuweza kumwacha kiumbe huyo aishi. inasemekana chatu huyo alikuwa kafungwa kitambaa cheupe chenye maandishi ya lugha ya kiarabu.. Cheki videos na picha Hapa..
|
Kitambaa alichokuwa kafungwa Chatu huyo,, |
|
Baada ya Chatu kuuwawa na wananchi |
Video ya Tukio hilo...