Blogger Widgets

Saturday, April 18, 2015

HIZI NI BAADHI YA PICHA ZA YALIYOJIRI KATIKA ONESHO LA MISS AND MR.IAA JANA IJUMAA..

Kutoka katika ukumbi wa Club D Arusha, hizi ni baadhi picha za onesho la Kumtafuta Miss na Mr. wa chuo cha uhasibu Arusha. Hii ilifanyika jana Ijumaa, kwenye ukumbi wa juu wa club D moshono.. Mshindi Wa Mr.IAA 2015 Chief Judge, Idris Sultan akitangaza washindi Washindi wa Miss and Mr.IAA 2015 Mshindi wa Miss IAA 2015 Former Miss IAA 2014 Majudge wa shindano hilo.. Washiriki wa Miss IAA 2015 Mshiriki wa Mr.IAA 2015 Mshiriki...

Friday, April 10, 2015

UMESIKIA HABARI HIZI KUHUSU MTANZANIA ANAYEHUSISHWA NA TUKIO LA UGAIDI KENYA??

Mtanzania aliyekamatwa Kenya akidaiwa kufanya ugaidi katika Chuo Kikuu cha Garissa uliosababisha vifo vya watu 148, Rashid Charles Mberesero (20) ni mwanafunzi wa kidato cha tano, lakini uongozi wa shule anayosoma umesema alitoweka shuleni hapo Desemba Novemba 2014.   Habari zilizothibitishwa na wazazi wake ni kuwa mwanafunzi huyo anasoma katika Shule ya Sekondari ya Bihawana, Dodoma, baada ya kufaulu katika Shule ya Sekondari Gonja mkoani...

Thursday, April 9, 2015

HII NDIO AJALI MBAYA ILIYOTOKEA TANGA LEO..

Ajali nyingine tena imetokea Tanga leo APRIL 9 2015, taarifa za awali zinasema watu 10 wamefariki na wengine wamepata majeraha kutokana na ajali hiyo iliyotokea eneo la Mkata, Wilaya ya Handeni Tanga, gari zilizopata ajali hiyo ni basi la NGORIKA, jingine la RATCO pamoja na gari nyingine ndogo. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, RPC Juma Ndaki kathibitisha kutokea kwa ajali hiyo huku akisema kwamba mwendo kasi umechangia...

Saturday, April 4, 2015

Ulikuwa unajua sababu ya Charles Hilary kuondoka BBC? Hii ndio sababu..

  Miongoni mwa watu ambao sauti zao zimesikika sana kupitia BBC London, ni Mtangazaji Mtanzania Charles Hillary aliyewahi kusikika sana hata kupitia Radio One pia. Charles Hillary sasa anarudi nyumbani Tanzania na kujiunga na kituo cha Televisheni cha Azam ambapo mhariri wa BBC Afrika Dar es salaam Solomon Mugera aliwaambia wafanyakazi wake kuhusu kuondoka kwa Hillary. Naibu Mtendaji mkuu wa Azam Tido Muhando alithibitisha...

Ulisikia Kuhusu Reginald Mengi kufunga Ndoa na K-Lyn? Cheki picha Hapa..

Mtandao wa Bongo5.com umepata nafasi ya kupokea pichaz Exclusive kutoka kwenye harusi hii ambayo imefungwa kwenye ardhi ya nchi ya Mauritius kwenye mwisho wa mwezi March 2015. Hii ndoa pia ilishuhudiwa na watoto wao wawili mapacha kama wanavyoonekana kwenye picha pamoja na marafiki wengine wa familia pamoja na ndugu ambao idadi yao inafikia 50. Ndoa imefungwa miezi minne baada ya Reginald Mengi kumchumbia Jacky Dubai kwenye siku ya kuzaliwa...

Ulisikia hii ya Ajali ya mashabiki wa Simba Ukawa? Chanzo ni hiki hapa..

Hii ilianza kuchukua Headlines jana April 03 kuhusu ishu ya ajali ambayo walipata mashabiki wa Timu ya Simba waliokuwa wakisafiri kwenda Shinyanga kushabikia Timu yao ambayo itakuwa ikipambana na Kagera Sugar leo April 4. Leo imetawala pia katika vyombo vya Habari, Ripota wa Clouds FM Morogoro aliripoti tukio hilo, amesema ajali hiyo imetokea mbele kidogo ya Morogoro ambapo mvua inaendelea kunyesha, utelezi wa Barabarani...