Blogger Widgets

Wednesday, July 31, 2013

Nicki Minaj Responds to DJ Khaled's Marriage Proposal

DJ Khaled was only kidding when he asked for Nicki Minaj's hand in marriage, which is perfect because the proposal did nothing but give her a good laugh. Khaled, who's reportedly still married to a woman credited as his "spiritual advisor," made a video plea for the YMCMB Barbie through MTV last week. Turns out it was all a "joke" (aka publicity stunt) to promote his new single, "I Wanna Be With You,"...

Monday, July 29, 2013

AZZAN KUJIUZULU UBUNGE ENDAPO ITABAINIKA ANAHUSIKA NA BIASHARA YA DAWA ZA KULEVYA!!!

MBUNGE wa Kinondoni (CCM), Idd Azzan, amesema yupo tayari kujiuzulu ubunge, ikiwa itabainika anajihusisha biashara ya dawa za kulevya. Kauli hiyo imekuja siku chache baada ya kutajwa katika moja ya barua iliyosambazwa katika mitandao ya kijamii, baada ya mtu anayedaiwa kukamatwa China na kuwatuhumu watu kadhaa akiwamo Idd Azzan. Akizungumza na MTANZANIA jana kuhusu sakata hilo, alisema hatua ya kuhusishwa na biashara haramu ya dawa za kulevya,...

Thursday, July 25, 2013

Higuaín and Reina check in at Napoli

Gonzalo Higuaín has been confirmed as Edinson Cavani's replacement at SSC Napoli after leaving Real Madrid CF, with the Serie A side also signing Pepe Reina from Liverpool FC. SSC Napoli president Aurelio De Laurentiis has announced that the club have secured the services of Argentina striker Gonzalo Higuaín from Real Madrid CF and goalkeeper Pepe Reina from Liverpool FC. Higuaín has arrived in Naples for a reported fee of.....>>Read...

Tuesday, July 23, 2013

SAKATA LA KODI YA SIM CARD, RAIS AINGILIA KATI!!!

Rais Kikwete ametoa agizo mamlaka zote husika zikae chini kutatua haraka mzozo wa kodi ya sim card ili kumaliza malalamiko ya wananchi.Rais Kikwete ametoa agizo hilo jioni hii alipokutana na viongozi wa wizara ya fedha, sayansi mawasiliano na teknolojia, TCRA na wawakilishi wa makampuni yote ya simu Tanzania. Lengo ilikuwa kujadili mzozo h...

Monday, July 22, 2013

YALIYOMO KWENYE MAGAZETI YA LEO,,, Monday, July 22, 2013

...

Saturday, July 20, 2013

Mfanyabiashara Said Mohammed Saad (Mmiliki wa Home Shopping Center) AMWAGIWA TINDIKALI

Taarifa za awali zinadai kamwagiwa Tindikali maeneo ya Msasani City Mall muda wa saa 2.Ni jirani na Ubalozi wa Marekani na jirani kabisa na Police Oysterbay.                                 Mtu aliyefanya kitendo hicho alitoka mbio, mlinzi akamkimbiza lakini bahati mbaya akateleza na kuanguka na Mtu huyo akawahi pikipiki na kutoweka eneo la tukio. Source: Jamii...

Tuesday, July 16, 2013

YALIYOMO KWENYE MAGAZETI YA LEO!!! Tuesday, July 16, 2013

...

Monday, July 15, 2013

CHADEMA HATARINI KUFUTIWA USAJILI!!!!

Hatimaye msajili wa vyama vya siasa Nchini John Tendwa ameibuka na kusema sasa anaandaa kalamu yake kukifuta Chama kikuu cha upinzani nchini CHADEMA.Katika Taarifa yake kwa vyombo vya habari muda mfupi uliopita Tendwa amesema CHADEMA wanataka kuanzisha kikundi cha mgambo ambacho ni kinyume na sheria,katiba ya nchi na sheria za usajili wa vyama.Msajili huyo ambaye inadaiwa ni mwanachama mwaminifu wa CCM amesema kwamba kama madai ya CHADEMA ni kuanzisha kikundi cha kujilinda dhidi ya Green Guard wa CCM madai hayo hayana msingi wowote kwani kama CHADEMA...

Bayern completes Thiago Alcantara deal!!!

The Champions League holder beat Manchester United to the highly-rated midfielder's signature after triggering his buy-out clause Josep Guardiola, Thiago AlcantaraBayern Munich confirmed that it has secured the services of Thiago Alcantara from Barcelona for a fee of around 20 million euros.Pep Guardiola recently stated that he was keen to lure the 22-year-old to the Allianz Arena and the deal has now been completed as Thiago has signed a contract...

YALIYOMO KWENYE MAGAZETI YA LEO!! Monday, July 15,2013

...

Sunday, July 14, 2013

MATOKEO YA UCHAGUZI WA MADIWANI ARUSHA!!!

Kwa habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba, Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimefanikiwa kushinda viti vya udiwani katika kata zote nne kwenye uchaguzi wa madiwani uliofanyika leo jijini Arusha baada ya uchaguzi huo kuahirishwa mara mbili. Matokeo ya kura hizo ni kama ifuatavyo: THEMICHADEMA -678CCM-326CUF-313KIMANDULUCHADEMA-2665CCM-1169KALOLENICHADEMA-1019CCM-389CUF-169ELERAICHADEMA-1715CCM-1239CUF-...

Uchaguzi mdogo wa madiwani Arusha wageuka vurugu tupu!!

Uchaguzi mdogo katika kata nne za Jiji la Arusha unafanyika leo, huku Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), ikiwapiga marufuku Mkuu wa Mkoa, Magessa Mulongo na Mkuu wa Wilaya ya Arusha, John Mongella kuingia kwenye vituo vya kupigia kura, wala kujihusisha kwa namna yoyote na zoezi la upigaji kura ikisema siyo jukumu lao kisheria. Mbali ya NEC kupiga marufuku viongozi hao wa kisiasa kukaribia vituo hivyo, uchaguzi huo umekumbwa na matukio kadhaa...

Saturday, July 13, 2013

VITA KALI CHADEMA, CCM!!

Siku tatu baada ya Rais Jakaya Kikwete kuponda mpango wa Chadema kuanzisha kambi kwa ajili ya mafunzo ya ulinzi kuwalinda viongozi na wanachama wake,  chama hicho kikuu cha upinzani nchini kimeibuka na kusema kuwa kinaendelea na mpango huo na kambi hizo zitaanza rasmi wiki ijayo. Kimesema hakitishwi na kauli ya Jeshi la Polisi kukionya juu ya  uanzishwaji wa mafunzo hayo,  kwamba jeshi hilo linatakiwa kuanza kukizuia Chama Cha...

Friday, July 12, 2013

Serikali yatangaza kima cha chini mishahara ya kisekta!!!

Serikali imetangaza viwango vipya vya chini vya mishahara kisekta ambavyo vinatofautiana kati ya sekta moja na nyingine ambavyo ni kuanzia Sh40,000 hadi Sh400,000 kwa mwezi kuanzia Julai Mosi mwaka huu. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Msemaji wa Wizara ya Kazi na Ajira, Ridhiwani Wema, watakaolipwa kima kidogo zaidi cha Sh40,000 ni wafanyakazi wa.... >>Read More<&...

YALIYOMO KWENYE MAGAZETI YA LEO,, Friday, July 12, 2013

...

Thursday, July 11, 2013

MAGAZETI YA LEO.. Thursday, July 11, 2013

...