
Habari mbaya kwa watanzania na wapenzi wote wa Bongo fleva. Msanii Davido toka Nigeria azidi kumpelekesha Diamond. Tuzo pekee aliyokuwa akiwania Diamond Platnumz imenyakuliwa na Davido. Diamond aliyekuwa Nominated katika Category ya Best African Act katika Tuzo za BET, amejikuta akishindwa tena mbele ya Mpinzani wake mkubwa Davido kama ilivyokuwa katika Tuzo za MTV, ambapo davido alishinda zidi ya Diamond katika kipengele cha Best Male Artist. Katika...