Blogger Widgets

Thursday, June 13, 2013

BREAKING NEWS!!! Pigo lingine kwa Tasnia ya Music Tanzania,,, Msanii Langa Afariki dunia!!!



Langa Kileo (msanii wa Hip Hop Tanzania, pichani) amefariki dunia leo hii.

Langa alipelekwa hospitali akiwa hajitambui. Anadaiwa kuwa alikumbwa na Malaria kali sana, Hali iliyopelekea kukimbizwa Hospitali ya Muhimbili jana.

Uchunguzi wa chanzo cha kifo chake bado unaendelea. 

Msanii Langa aliwahi kutamba na kikundi cha Wakilisha pamoja na witness na sara ni miongoni mwa wasanii wakongwe wa bongo flava nchini Tanzania.

Mungu amrehemu.