Blogger Widgets

Sunday, June 30, 2013

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI JUU YA UJIO WA RAIS WA MAREKANI NCHINI!!

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Rais wa Marekani, Mhe. Barack Obama anatarajiwa kuwasili nchini tarehe 01 Julai, 2013 mchana kwa ziara ya kitaifa ya siku mbili.

Katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam, Mhe. Rais Obama ambaye atafuatana na Mkewe Mama Michelle atapokelewa na Mwenyeji wake, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete.

Baada ya mapokezi, Mhe. Rais Obama atakwenda Ikulu kwa mazungumzo rasmi na Mhe. Rais Kikwete. Aidha, atafanya mkutano na Wafanyabiashara na kuhudhuria Dhifa ya Kitaifa.

Tarehe 2 Julai 2013, Mhe. Rais Obama atatembelea Mitambo ya kufua Umeme ya Symbion iliyopo Ubungo, Dar es Salaam na kuzindua rasmi Mpango Maalum wa Maendeleo ya Nishati Barani Afrika ulioanzishwa na Marekani (Power Africa Initiative).

Mpango huo utaanza na nchi saba ambazo ni: - Tanzania, Kenya, Uganda, Ethiopia, Ghana, Nigeria na Sudan Kusini.

Mhe. Rais Obama anatarajiwa kuondoka nchini tarehe 02 Julai 2013.

IMETOLEWA NA: WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA, DAR ES SALAAM

Saturday, June 29, 2013

Afrika Kusini wafanya Maandamano ya Amani Kupinga Ujio wa Obama Nchini Mwao,,

Waandamanaji Nchini Afrika Kusini wakiwa wamebeba mabango yanayopinga kuja Kwa Raisi Obama nchini Humo wakati wa maandamano ya Amani ya Kupinga Kuja Kwa Obama Katika Jiji la Pretoria Nchini Afrika jana Jioni - Juni 28

Waandamanaji Nchini Afrika Kusini Wakisali mbele ya Bango linalopinga Kuja kwa Raisi Obama Nchini Humo wakati Raisi Obama alipotua Nchini Afrika Kusini Jioni ya jana Juni 28

Waandamaji wa Nchini Afrika Kusini wakiwa wanasali mbele ya Ubalozi wa Marekani wakati wa maandamano ya kupinga kuja kwa Raisi Obama Nchini Humo jana wakati Raisi Obama alipotua Nchini Humo Kwa Ziara ya Siku 2 ..

Mmoja wa waandamaji nchini Afrika Kusini ambaye jina lake halikuweza kupatikana mara moja akiwa amebeba moja ya Bango ambalo Linamwita Raisi OBAMA kuwa ni Mpishi wa Ikulu ya Marekani kama linavyosomekana na kuendelea kuelezea kuwa sera za Marekani ni tatizo.Mwandamaji huyu alibeba bango hilo jana Juni 28 wakati wa maandamo ya amani kuelekea mbele ya Ubalozi wa Marekani NChini humo kwa kupinga Kuja Kwa OBAMA Nchini Mwao.Picha Zote na REUTERS/AFP

Friday, June 28, 2013

Barcelona star, Lionel Messi in Senegal as part of campaign to combat malaria

Barcelona star Lionel Messi has arrived in Senegal to help launch a campaign against malaria in Africa.

The reigning world footballer of the year is advocating the need to use medicated bed nets to reduce the pace of the disease on the continent.
"I am really delighted to come to Senegal," the Argentine told BBC Sport.
"My commitment to be part of this battle against malaria is relentless. Whenever I have the opportunity to help, I will not hesitate."
The project, called Football Combating Malaria, is spearheaded byASPIRE Football Dreams  , a Qatar-based sport organisation.
It aims to distribute 400,000 bed nets in 10 countries in Africa, with that figure increasing to 1m nets each year throughout the continent.
About 700,000 people die every year die from malaria, with 91% of those fatalities occurring in Africa.
The majority of the deaths are children younger than five years old, with 180 children dying from malaria every 90 minutes - the same time it takes to play a football match.
Messi, 26, added: "There is no doubt that I'll co-operate with organisations involved in this initiative to trim out the pernicious effects of malaria."

Hii Kali!!! KITUO CHA DALADALA UBUNGO 'OUT OF SERVICE' KWA MASAA MACHACHE SIKU YA JUMANNE KUMPISHA OBAMA!!!

Hili ni moja ya matangazo yaliyobandikwa maeneo ya kituo hicho!!!



Sugu afikishwa Mahakamani Leo!!! Ni baada ya kutumia lugha ya Matusi kwa Waziri Mkuu!!!

Leo asubuhi Mh. Joseph Mbilinyi (Sugu) alipelekwa mahakamani kwa shitaka la kutumia lugha ya matusi dhidi ya Waziri Mkuu, shtaka hili lilifunguliwa kwenye mahakama ya hakimu mkazi wilaya ya Dodoma na mwendesha mashitaka wa serikali.



Baada ya kufunguliwa shtaka hilo, Lissu ambaye alikuwa wakili wa Sugu aliitaka mahakama ifutilie mbali shtaka hilo kwani halina msingi wowote wa kisheria na baada ya mabishano ya kisheria baina ya Lissu na wanasheria wa serikali kushindwa kuthibitisha kuwa neno Mpumbavu ni lugha ya matusi, hakimu ameamua kufuta shtaka hilo na ametangaza kuwa Sugu yuko huru na hana kesi ya kujibu.

Muda huu ndio wanaondoka mahakamani, Sugu, Lissu na baadhi ya wabunge na viongozi wa CHADEMA ambao walikuwa mahakamani hapo.

Thursday, June 27, 2013

ZILIZO MAKE HEADLINES KWENYE MAGAZETI YA LEO!! Thursday, June 27 2013








Brasil yawa timu ya kwanza kufuzu fainali za Kombe la Mabara!!

FIFA_CONFEDERATION_CUP_BRAZIL_2013
KONA ya Dakika ya 86 ya Neymar ilimkuta Kiungo Paulinhoaliejitwika kichwani na kuipa Brazil Bao la pili na la ushindi na kutinga Fainali ya Mashindano ya FIFA ya Kombe la Mabara walipoifunga Uruguay Bao 2-1 katika Mechi ya Nusu Fainali iliyochezwa Estadio Mineirao, Mjini Belo Horizonte, Nchini Brazil.. >>Soma Zaidi<<

ENTERTAINMENT: New Music and Video Download..


Download na Sikiliza Track Mpya kutoka kwa AY na Mwana FA ft J.Martins >>Click Hapa<<

Wednesday, June 26, 2013

Top Stories Kwenye Magazeti Ya Leo,, Wednesday, June 26 2013












Tuesday, June 25, 2013

SPORTS: Real Madrid Confirms Ancelotti Signing

The Spanish giants have announced on their official website that the Italian will be their new head coach for the next three seasons

Real Madrid have confirmed Carlo Ancelotti will leave Paris Saint-Germain to take over at the club following the exit of Jose Mourinho earlier this summer.. >>Read More<<



Former France head coach Laurent Blanc has been confirmed as Paris Saint-Germain's new head coach.


The 47-year-old has signed a two-year deal to become Carlo Ancelotti's successor at Parc des Princes on the same day the Italian is named as Real Madrid's new trainer.. >>Read More<<

BEEF YA KAGAME NA MTIKILA YAPAMBA MOTO: Mtikila has extreme genocide ideology, says Kagame

Kagame has said Mtikila has extreme genocide ideology, similar to what was promoted in Rwanda in 1960s. 

He said this at a press conference, adding that Mtikila published an article, calling Tutisi snakes, that they don't deserve to live, and showed great hate! 

The president also said that mtikila tried to regionalize the hate and his government (Tanzania) said nothing and did nothing ABOUT IT.

It should be recalled that Mtikila used Jamii Forum and wavatu to dehumanize tutsis as a tribe, while commenting on eviction of Wasukuma from forests in Kagera. The article breached one of the rules of Jamii Forums that is against use of hate speech, bigotry and promoting hatred and racism on the forums. But since those who were attacked were Tutisis, then it was allowe to go. 

Mtikila appealed to his readers that Bantu were one against non-bantu Tutsis!

Source: Jamii Forums

Story kubwa kwenye Magazeti ya Leo.. Tuesday, June 25 2013











Monday, June 24, 2013

Magazeti Ya Leo,, Monday, June 24 2013









Saturday, June 22, 2013

MAGAZETI YA LEO!!! Jumamosi, june 22, 2013