Blogger Widgets

Sunday, June 14, 2015

NA HII NDIYO LIST YA WASHINDI WOTE WA TUZO ZA KTMA..


Bendi Bora ya Mwaka - FM Academia

Wimbo bora wa kushirikiana/kushirikishwa - MwanaFA ft. Ali Kiba - Kiboko Yangu

Msanii Bora Chipukizi Anayechipukia - Barakah Da Prince

Wimbo bora wenye vionjo vya asili ya Tanzania - Waite - Mrisho Mpoto

Wimbo bora wa Zouk/Rhumba - Ntampata Wapi - Diamond Platnumz

Wimbo bora wa Afro-Pop - Mwana - Ali Kiba

Video ya bora ya muziki ya Mwaka - Mdogo Mdogo - Diamond Platnumz

Mtayarishaji bora wa nyimbo wa mwaka bendi - Amoroso

Mtayarishaji bora wa nyimbo wa mwaka Bongo Flava - Nahreel

Mtunzi bora wa mwaka Hip Hop - JohMakini

Mtunzi bora wa mwaka bendi - Jose Mara

Mtunzi bora wa mwaka Bongo Flava - Ali Kiba

Mtunzi Bora wa mwaka Taarab - Mzee Yusuf

Wimbo Bora wa Afrika Mashariki - Sura Yako - SautiSol

Msanii Bora wa Hip Hop - JohMakini

Rapper bora wa mwaka bendi - Ferguson

Wimbo bora wa reggae/dancehall - Maua Sama

Wimbo bora wa Hip Hop - Kipi Sijasikia - Prof Jay ft. Diamond Platnumz

Wimbo Bora wa R&B - Sisikii - Jux

Wimbo Bora wa Kiswahili Bendi - Wale Wale - FM Academia

Wimbo Bora wa Mwaka - Mwana - Ali Kiba

Wimbo bora wa Taarab - Mapenzi Hayana Dhamana - Isha Mashauzi

Muimbaji Bora wa Kiume Bendi - Jose Mara

Mwimbaji Bora wa kike Taarab - Isha Mashauzi

Mwimbaji Bora wa Kiume Taarab - Mzee Yusuf

Muimbaji Bora wa Kike Bongo Flava - Vanessa Mdee

Muimbaji Bora wa Kiume Bongo Flava - Ali Kiba

Mtumbuizaji bora wa muziki wa mwaka wa kike - Vanessa Mdee

Mtumbuizaji bora wa muziki wa mwaka wa kiume - Ali Kiba

HIZI NI BAADHI YA PICHA ZA TUKIO ZIMA LA KILI MUSIC AWARDS..

June 13 2015 katika ukumbi wa  Mlimani City Dar, Ndipo ilipofanyika KTMA. washindi wametajwa na kukabidhiwa Tuzo zao.. Hapa kuna picha zao zote kutoka kwa Milllard Ayo, unaweza kucheki kuanzia mwanzo mpaka mwisho tukio lilivyokuwa..

DSC_2350
DSC_2353
DSC_2390
DSC_2396
DSC_2408
DSC_2422
DSC_2442
DSC_2525
DSC_2533
DSC_2551
DSC_2587
DSC_2638
DSC_2728
DSC_2759
DSC_2772
DSC_2791
DSC_2811
DSC_2880
DSC_2930
DSC_2944
DSC_2997
DSC_3054

Monday, June 8, 2015

UMESIKIA HII YA WAGOMBEA WA CCM KUKIMBIA MDAHALO?? SIKIA HAPA..!

IMG-20150608-WA0032
Leo June 08 2015 kulikuwa na mdahalo wa Wagombea wa Urais TZ ambao wanawakilisha CCM.. Mdahalo ulianza saa moja jioni Hyatt Regency Dar lakini Wagombea wengi hawakufika aliyefika ni Mgombea mmoja tu, Balozi Amina Salum Ali, wapo waliotoa sababu za kutofika lakini wengine hakukuwa na taarifa yoyote.
Ali Mufuruki ni mwenyekiti wa Waandaaji wa Mdahalo huo, hiki ndio alichokisema baada ya kutokea kwa hali hiyo. ”Tumesikitika kwamba wamejitoa.. Hiki ni kitu ambacho kimetuchukua muda mrefu sana kukiandaa. Sijui na sijapata  nafasi kuzungumza nao nini kimewakuta
Tarehe 18 kutakuwa na mdahalo wa watu wa UKAWA… Hatuwezi kuwalazimisha kuja, wakiamua kutokuja hatuwezi kufanya chochote
Mzee Sumaye anauguliwa kwa hiyo hakuwepo hapa mjini… Mheshimiwa Nyalandu alithibitisha kushiriki leo asubuhi lakini ameenda Mbeya kikazi na leo usiku atasafiri kwenda nje ya nchi
Kinana alifafanua kuhusu hili jambo kwamba kila mtu ana hiari ya kuhudhuria ama kutokuhudhuria. Sidhani kama kuna tatizo kwenye chama… Sijapewa sababu ya hawa ambao hawajahudhuria