Blogger Widgets

Sunday, July 14, 2013

MATOKEO YA UCHAGUZI WA MADIWANI ARUSHA!!!

Kwa habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba, Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimefanikiwa kushinda viti vya udiwani katika kata zote nne kwenye uchaguzi wa madiwani uliofanyika leo jijini Arusha baada ya uchaguzi huo kuahirishwa mara mbili. Matokeo ya kura hizo ni kama ifuatavyo:

THEMI
CHADEMA -678
CCM-326
CUF-313

KIMANDULU
CHADEMA-2665
CCM-1169

KALOLENI
CHADEMA-1019
CCM-389
CUF-169

ELERAI
CHADEMA-1715
CCM-1239
CUF-213