Blogger Widgets

Monday, July 1, 2013

OBAMA AWASILI TANZANIA!!!

Barabara za jiji zikisafishwa kwa ajili a kiongozi huyo mkubwa!!

Eneo la Ikulu likiwa limeandaliwa tayari kwa mapokezi!

Eneo ambalo Rais Obama na Mwenyeji wake watazungumza na waandishi wa Habari!!

Air  Force one, Ndege maalum kwa Rais wa Marekani!



Rais kikwete akisalimiana na Wananchi waliopo eneo la ikulu kwa ajili ya Mapokezi ya  Obama

Watu wliokusanyika kushuhudia Ujio wa Obama jijini Dar es salaam!

Rais Obama akijaribu kucheza ngoma zilizokuwa zikitumbuiza wakati wa Mapokezi



ALL PHOTOS BY: CHINDO MKAZUZU
Stay with us for more Photos and Updates!!