Blogger Widgets

Tuesday, July 23, 2013

SAKATA LA KODI YA SIM CARD, RAIS AINGILIA KATI!!!

Rais Kikwete ametoa agizo mamlaka zote husika zikae chini kutatua haraka mzozo wa kodi ya sim card ili kumaliza malalamiko ya wananchi.

Rais Kikwete ametoa agizo hilo jioni hii alipokutana na viongozi wa wizara ya fedha, sayansi mawasiliano na teknolojia, TCRA na wawakilishi wa makampuni yote ya simu Tanzania. 

Lengo ilikuwa kujadili mzozo huo.