Blogger Widgets

Wednesday, July 10, 2013

Umeskia hii: Chid Benz Na Ney washrikishwa Kwenye Track moja bila wao wenyewe Kujua? Wimbo wenyewe huu hapa sasa!!!



Hivi karibuni  msanii Baghdad alitoa ngoma yake mpya akishirikiana na wasanii wawili ambao inasemekana kwamba hawana mahusiano mazuri. Wasanii hao ni Chidy Benz na Ney wa Mitego, kwa pamoja walishiriki kwenye ngoma moja ya Baghdad bila kujua kama wapo kwenye ngoma moja. Baadaye kutokana na  ratiba zao tofauti wakafanya video siku tofauti na katika location tofauti lakini kwa ajili ya ngoma moja hiyohiyo. Baghdad baada ya kuachia audio yake ambayo ilipata attention baada ya kusikika kwamba Ney wa Mitego na Chidy Benz wapo kwenye ngoma moja.
Habari kutoka kwenye chanzo cha uhakika zinasema kwamba Chidy Benz kutokana na kutokuwa na taarifa juu ya collabo hiyo, amepiga stop kutoka kwa video yake. Source ya story hii inaendelea kuhabarisha kwamba kuna mazungumzo yanafanyika na Chidy Benz kupata njia nzuri ya kuitoa video hiyo baada ya kuweka mambo kadhaa sawa kwenye maongezi hayo..

Track yenyewe ndio hii: