Blogger Widgets

Friday, March 21, 2014

Ajali mbaya kituo cha mabasi Ubungo..!!!

Ajali mbaya imetokea muda huu eneo la Ubungo, kwenye lango kuu la kuingilia mabasi yatokayo mikoani. Ajali imehusisha magari 6 likiwemo UDA.

Mpaka sasa haijajulikana idadi ya watu waliopoteza maisha. Hatua za uokoaji zinaendelea.

Taarifa zaidi na picha zitakujia kupitia hapa hapa..