Blogger Widgets

Sunday, April 13, 2014

BREAKING NEWS: Makamu wa Rais (Dk. Bilal), Kamanda Suleiman Kova, Mkuu wa Mkoa wa Dar na Dk. Magufuli wapata ajali ya helikopta!!

Katika kukagua uharibifu wa miundombinu uliosababishwa na mvua kubwa katika Jiji la Dar es salaam, Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal, Dk.John Magufuli, Mkuu wa Mkoa wa Dar, Meck Sadiki na Afande Kova wamenusurika ajali ya helikopita iliyotokea leo Jijini Dsm.. 


Makamu wa Rais Dk Gharibu Bilal, Kamanda wa Kanda maalumu ya Dar Es Salaam, Sulemani Kova na Waziri wa Ujenzi Dkt John Pombe Magufuli wamenusurika katika ajali hiyo, na wamekimbizwa hospitali kwa matibabu zaidi
Click image for larger version. 

Name: 7a485f354cb07268f3d727d1d35073da.jpg 
Views: 0 
Size: 73.5 KB 
ID: 151057
Click image for larger version. 

Name: 16c84ae9b714c405f2f16523a247c4f0.jpg 
Views: 0 
Size: 77.4 KB 
ID: 151058
Click image for larger version. 

Name: 3d4c4b635025850f151d4afc4c207bf7.jpg 
Views: 0 
Size: 32.6 KB 
ID: 151060