Blogger Widgets

Wednesday, June 18, 2014

BRAND NEW VIDEO: Hii ndio ile video ya Miaka 50 iliyozinduliwa na Rais Kikwete uwanja wa Jamhuri..!!!

TZ 50 1Kwa nguvu waliyonayo na urahisi wa kuwafikia Watanzania wengi, Wasanii mbalimbali wa muziki wa kizazi kipya waliamua kufanya tukio la kihistoria na kuungana kuimba wimbo wa miaka 50 ya Tanzania.
President wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete ndio alibonyeza play na kuizindua video hii uwanja wa Jamuhuri Dodoma (104.4 Clouds FM) Jumamosi ya June 14 2014.
Cheki video yenyewe hapa..!