Blogger Widgets

Saturday, June 28, 2014

BRAND NEW: Video ya Shetta na Diamond iliyofanyika South Afrika, hii hapa..!!

sheta2
Baada ya kusubiri kwa muda mrefu hivi sasa unaweza kuangalia video ya Sheta akiwa na Diamond kwenye video ya Kerewa Kerewa waliyo shoot South Africa. itazame hapa uone nini kipya kimefanyika humo..