Blogger Widgets

Monday, June 2, 2014

Cheki Majambazi Walivyoua kikatili Mchana Kweupe Arusha Jana!!!

Hivi ndivyo Majambazi walivyofanya Mauaji Arusha jana
Screen Shot 2014-06-02 at 8.32.39 AMKutoka Arusha, tumepata ripoti kwa ufupi kwamba majambazi waliingia kwenye
 duka moja la kubadilishia fedha Clock tower karibu na house of wine Arusha mjini ambapo kifo cha huyu ndugu kilitokana na yeye kupiga kelele baada ya kuona majambazi hao wakitenda uhalifu. Taarifa za mwanzo zinasema >>Soma Zaidi<<