Blogger Widgets

Friday, June 20, 2014

Hivi Ndivyo Diamond Alivyodhamiria kuiteka Marekani kabla ya BET Awards..

929138_780988865256369_1262737922_n
Baada ya MTV MAMA awards, haswa baada ya mkali wa Afro Pop kupiga bonge la show ambalo lilimchanganya hadi Mr.President na kumfanya afunguke kukubali na show ile. Hii sasa ni moto wa kuotea mbali,hasa baada ya kuachia wimbo wake wa Mdogo mdogo unaopigwa kila kona ya media hapa Bongo. Hivi sasa ni moja kwa moja hadi jiji la malaika aka Los Angels huko kwa Obama ambapo ndipo anatarajia kutia mguu katika maadnalizi ya awali ya tuzo hizo za BET., Kupitia ukurasa wake wa Instagram alifunguka na kudokezea tu, akisema “LOS ANGELES! need i say More?”, kweli hamna la ziada la kusema hapo lugha ya picha hii inasomeka vizuri sana.
10412927_289418064570210_1168525590_n