Blogger Widgets

Friday, July 18, 2014

HAYA NDIO ALIYOZUNGUMZA ALIKIBA KUHUSIANA NA DIAMOND PLATNUMZ..!!

kibaMtaani kumekua na stori nyingi sana zinazowahusisha mastar kutoka Kigoma Ally Kiba pamoja na Diamond Platnumz na maneno mengi yamekua ni kuhusu uhusiano wao kama wanamuziki.
mondddWengi wao wanasema kuwa Ally Kiba na Diamond Platnumz wana Bifu na kama lipo watu wanatamani kujua chanzo cha hilo bifu na kwa sasa kama wana mpango wowote wa kufanya kazi pamoja.
Ally Kiba kapatikana na kuongea sentensi hizi 4.
1-’Mimi nipo okey sana’
2-’Sifikirii tu kuongea nae basi lakini nipo okey’
3-’Sijawahi kufikiria kwa sababu kuwa okey na mtu ni pamoja na kuzungumza kuwa karibu yaani sijawahi kufikiria’
4-’Mimi nipo okey na sina chuki,sana sana nampongeza sina chuki simaindi na nipo okey’.
Unaweza kumsikiliza Ally Kiba chini hapa..  <<Source Millard Ayo>>