Blogger Widgets

Sunday, May 5, 2013

BREAKING NEWS! KANISA LALIPULIWA ARUSHA!!!

BREAKING NEWS!!

Mlipuko mkubwa umetokea katika kanisa Katoliki la Mt. Joseph Mfanyakazi, Parokia ya Olasiti Arusha. Watu kadhaa wamejeruhiwa wakati wa ibada ya uzinduzi wa kanisa hilo iliyokuwa ikiongozwa na Balozi wa Papa nchini.
Haijajulikana kama ni bomu au la ila ni mlipuko mkubwa na watu wamejruhiwa..


Ukiwa Arusha tune FM 106.70

Nukuu kutoka Redio Maria 

....watu wengi wamejeruhiwa miguu

......ni mlipuko

.....Olasiti Arusha

...kitu kilirushwa au kutokea chini kwenye moramu iliyo mwagwa....

....kuna watu wanahisiwa kuja eneo la tukio kwa gari na kurusha hiko kitu na kukimbia kutokomea na gari...maelezo ya mtoto mdogo anaye sadikiwa kuona watuhumiwa....

...watoto wengi na kina mama wamejeruhiwa....


Stay with us for more updates..