HIZI NI BAADHI YA PICHA ZA TUKIO ZIMA LA KILI MUSIC AWARDS..
June 13 2015 katika ukumbi wa Mlimani City Dar, Ndipo ilipofanyika KTMA. washindi wametajwa na kukabidhiwa Tuzo zao.. Hapa kuna picha zao zote kutoka kwa Milllard Ayo, unaweza kucheki kuanzia mwanzo mpaka mwisho tukio lilivyokuwa..