Blogger Widgets

Tuesday, May 20, 2014

ULIKUWA UNAJUA?? HUYU NDIO RAIS MASKINI ZAID DUNIANI..!!!

Rais Jose Mujica akiwa na Papa Francis
Sifa kwa wanasiasa kokote duniani ni nadra, hasa kwenye mitandao ya kijamii, lakini watu wamemmiminia sifa Rais wa Uruguay baadhi wakitamani kama marais wao wangekuwa kama Rais Jose Mujica wa Uruguay.

Kwenye Twitter kuna zaidi ya ujumbe laki moja wa watu nchini Uhispania wakitamani kama...