Blogger Widgets

Tuesday, June 18, 2013

Hali si shwari tena Arusha! Mabomu ya machozi Yatawala!!!!

Kwa habari tulizozipata hivi punde ni kwamba, mabomu ya machozi yanarindima mjini Arusha kuwatuliza wafuasi wa chama Cha Demokrasia na Maendeleo waliokuwa wamekusnyika tena viwanja vya Sowetho kufuatia tukio lililotokea Juzi jumamosi. la kulipuliwa bomu katika mkutano wa kampeni.


Jeshi la polisi limekipiga marufuku chama cha demokrasia na maendelo(CHADEMA)kufanya shughuli zozote za kuaga miili ya marehemu kwenye viwanja vya Soweto kwani zoezi la uchunguzi bado linaendelea kwenye viwanja hivyo huku mabomu yakirindima uwanjani hapo  >> SOMA ZAIDI>>